Hii ni adhabu ya Mtu kuonesha Bunduki hadharani bila sababu ya msingi from swala Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Mwanasheria kutoka #AvisLegal @henry_mwinuka_esq anatufafanulia kuhusu swala la watu kuonesha silaha zao (Haswa Bunduki) hadharani.nHenry Mwinuka amesema kuwa ni kosa kisheria mtu kuonesha Silaha yake hadharani na kosa hilo linaweza kupelekea kuchukuliwa hatua mbalimbali za kisheria.